Logo

lyricslingua

Get Started Discover
  1. Home
  2. Search
  3. Artists
  4. Eko Dydda
  5. Amen

Original lyrics hub

Amen

Eko Dydda

Unknown
Released April 5, 2018
Explore 2018 releases
Available translations

No translations have been published yet. Be the first to translate this song!

Launch the translator, pick a language, and share your version with the community.

Start the first translation

Select a language to open the translation workspace.

Artwork
Eko Dydda

Sourced from Genius — imagery may differ from official artwork.

Original lyrics

Close lyrics

Copy lyrics

...
Amen
Hahaha haaaaaa

Na wake up every morning na breathe fresh air
Nina yesu moyoni atanitetea
Macho men hawaoni wanaona mistake there
Hadi penye sioni atani-take there

Korokocho ni ya yesu (Amen)
Hii kibera ni ya yesu(Amen)
Hii kayole ni ya yesu(Amen)
Hii mathare ni ya yesu(Amen)

Money..money make man mad
Money..money make man mad(haha)
Na go crazy for Christ
Na go crazy for Christ

Niko ashamed of the gospel sahi
Buda sita hide anything
Pole afande leo sina id
Jesus is my i..dentity(aah ah)
Umenipa life in abundance
Kaa chakula nai-vas(aah ah)
Na express venye Christ amenibamba
Acha nianze nai-verse
Sipendi vitabu but watu washow wamenibook
Sipendi vitabu but kaa ni bible nipe book
Utanipata niko luke mavazi nimedunga look
Nacheki Yesu buda focus on Jesus ndiye look(aah ah)
Mwanariadha siko mashindano(aah ah)
Me si doctor siko mashindano
Kama solomon kama solomon kama solomon
Me nadai tuishingi right
Siko solo boy siko solo boy siko solo boy
Me nadai tuishi in christ
Na wakeup in the morning na breathe fresh air(turn up)
Nina Yesu moyoni tanitetea(turn up)
Macho men hawaoni wanaona mistake there
Hadi penye sioni atani-take there

Hii dandora ni ya Yesu (Amen)
Hii huruma ni ya Yesu(Amen)
Baba ndogo ni ya Yesu (Amen)
Kawangware ni ya Yesu (Amen)


Veve naweka kando sitachana
Naweka kando za jana
Naweka kando wasichana
Naweka kando mastunners
Focus-on-Jesus-hapo-ndio-me naweka eye ball
Napenda ball-mbili-buda naziita bi-ble
Nina gideons sita-buy-ball
Nakupenda kuruka kuruka ki Masai mall
Nasema na..niko mafichoni na..chini ya mwamba nina
Mbele ya Yesu nita bow bow bow (bow)
Pale juu pale juu
Utabaki pale juu pale juu(hahaha)
Shetani too bad(hahaha)
Too bad
Nyonde mbili (two birds)
Mbaya mbili(haha)
Kwa Yesu me napata ra! life smooth
Kama kipara
Amenishika kaa origi
Amenishika kama kipara(ra ra)
Na wake up in the morning na breathe fresh air
Nina Yesu moyoni tanitetea
Macho men hawaoni wanaona mistake there
Hadi penye sioni atani-take there

Hii dandora ni ya Yesu (Amen)
Hii huruma ni ya Yesu(Amen)
Baba Dogo ni ya Yesu (Amen)
Kawangware ni ya Yesu(Amen)

Hata nakuru hata mombasa
Hata kisumu eldoret(hahaha)
Na Ever recharging (hahahaha) (haha)
Kisii (turn up) (hahaha)
Kenya yote ni ya Yesu
Africa ni ya Yesu
Dunia mzima

Keep exploring

Continue discovering LyricsLingua

Choose another path through releases, languages, or artist libraries to keep finding translations.

Explore 2018 releases

Browse every track released in 2018 across the catalog.

Open 2018 archive
Explore the Eko Dydda catalog

Browse every song we have lyrics or translations for this artist.

Open Eko Dydda songs
Browse translations by language

Jump into the language index to explore songs translated around the world.

Open language index
Discover the release library

See every song grouped by its original release year.

Browse releases
Discover trending translations

Follow the latest translations landing on LyricsLingua.

Visit discover feed
Translate another song

Go back to search results to queue up the next translation.

Search songs
Logo
© 2024 lyricslingua
Privacy Policy • Terms of Service • About • Contact Us • Languages • Releases • Artists
Buy Me A Coffee